Wakina mama wajawazito wakiwa wamelala sakafuni na wengine kuchangia kitanda kimoja kutokana na upungu wa vitanda.
Kesho Dec 9,2011,Tanzania inasherekea miaka 50 ya "uhuru" iliyojipatia kutoka kwa Mwingireza Dec 9,1961.
Taifa linasherekea miaka 50 huku tofauti ya masikini na matajiri ikiongezeka.Pesa ya Tanzania ikizidi kupoteza mvuto(thamani).
Tanzania nchi iliyojizoelea sifa lukuki baada ya uhuru leo hii wananchi wanamaswali mengi kuliko majibu.Changamoto zinazidi kuibali tanzania siku hadi.
Maadili ya uongozi,uzalendo kila kukicha vinazidi kuota mbawa na kutishia so called Amani uwepo wake.

No comments:
Post a Comment