Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma - UDOM wamegoma kuingia madarasani
wakipinga kile walichodai kuwa ni hatua ya bodi ya mikopo ya elimu ya
juu nchini kuchelewesha mikopo wanayostahili kupata.
Polisi mkoani Dodoma wamelazimika kutumia nguvu za ziada kuwatawanya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma,UDOM waliokuwa wanaandamana kwenda ofisi ya Waziri Mkuu mjini Dodoma kuwasilisha madai yao.
Dokta Nsekela amewataka wanafunzi hao kuwasilisha hati za madai yao katika ofisi yake na kuahidi kulitatua tatizo hilo ndani ya muda wa siku saba.

No comments:
Post a Comment