Monday, January 14, 2013

shule za msingi tanzania- Delta star Training





Wanafunzia wa shule ya msingi, Nyasa 1 iliyopo wilayani Nzega wakisoma vitabu vya kiada walivyokabidhiwa na kampuni ya tigo kwa kushirikiana na Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) katika hafla iliyofanyika shuleni hapo hivi karibuni. Kulia ni Ofisa Ugawaji Rasilimali wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), Anne Mlimuka.

http://michuzijr2.wordpress.com/

No comments:

Post a Comment