Delta star Training, Nafasi za masomo, ajira kazi, job vacances, shule za Tanzania, Matokeo ya shule, blog, mikopo, computer training, IT-business, marketing, vocation training, Graphic design for journalism, Administrative Management, Forwarding and Clearing
Friday, February 22, 2013
Monday, January 14, 2013
shule za sekondari za serikali tanzania
Wanafunzi wa shule za msingi katika nchi mbalimbali katika nchi za Afrika Mashariki wanakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo ya kutokujua kusoma baada ya kumaliza darasa la saba. Pia hata wale wanaofaulu wengine hukosa nafasi lakini mambo ni tofauti nchini Tanzania. Fuatilia makala haya upate ndani wa suala hilo.
shule za sekondari tanzania- serikali kata- Picha 17 aibu tupu
WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI MGULASI MANISPAA YA MOROGORO WAKIWA WAMEKALIA NDOO ZA YENYE UJAZO WA LITA 10 ZIKIWA ZIMEGEUZWA MADAWATI ILI KUWEZA KUTUMIA KWA KUKALIA WAKATI WA MASOMO YAO YA KILA SIMU, PICHA HII NI KUTOKA MAKTABA YA WWW.JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM MWAKA 2009 WAKATI BENKI YA KCB TANZANIA TAWI LA MOROGORO WALIOENDA KUTOA MSAADA WA MADAWATI KATIKA SHULE HIYO YA SEKONDARI.
shule za sekondari tanzania- Mitaa yetu
Na Joachim Mushi
Rukwa
Rukwa
UJENZI wa Shule za Sekondari kwa kila Kata maarufu
kama ‘sekondari za kata’ katika mikoa anuai umeongeza vituko kwenye
sekta ya elimu kwa baadhi ya maeneo kwani kutokana na upungufu mkubwa wa
walimu hasa wa masomo ya sayansi na lugha baadhi ya shule zimefuta
masomo hayo kinyume na taratibu za mitaala.
Miongoni mwa mikoa iliyokubwa na kadhia hiyo ni Rukwa, Wilaya ya
Nkansi ambako baadhi ya shule hizo zimekata tamaa baada ya kukosa walimu
wa sayansi na kulazimika kufuta masomo ya sayansi na kubaki na yale ya
sanaa, licha ya kwamba nayo si yote yenye walimu kwenye shule hizo.
shule za msingi arusha- Mitaa Yetu
shule za msingi arusha. Wanafunzi hao wakiendelea kufundishwa na hapa wamepigwa kwa nyuma ili kuonyesha uhalisia wa mahala penyewe na uwingi wao ambao bado wamekatwa kulingana na kamera kwa kweli ni wengi mno.Picha na hisani ya www.sufianimafoto.blogspot.com
Tanzania hospital- Miaka hamsini ya uhuru- Mama !!!
Wakina mama wajawazito wakiwa wamelala sakafuni na wengine kuchangia kitanda kimoja kutokana na upungu wa vitanda.
Kesho Dec 9,2011,Tanzania inasherekea miaka 50 ya "uhuru" iliyojipatia kutoka kwa Mwingireza Dec 9,1961.
Taifa linasherekea miaka 50 huku tofauti ya masikini na matajiri ikiongezeka.Pesa ya Tanzania ikizidi kupoteza mvuto(thamani).
Tanzania nchi iliyojizoelea sifa lukuki baada ya uhuru leo hii wananchi wanamaswali mengi kuliko majibu.Changamoto zinazidi kuibali tanzania siku hadi.
Maadili ya uongozi,uzalendo kila kukicha vinazidi kuota mbawa na kutishia so called Amani uwepo wake.
Kesho Dec 9,2011,Tanzania inasherekea miaka 50 ya "uhuru" iliyojipatia kutoka kwa Mwingireza Dec 9,1961.
Taifa linasherekea miaka 50 huku tofauti ya masikini na matajiri ikiongezeka.Pesa ya Tanzania ikizidi kupoteza mvuto(thamani).
Tanzania nchi iliyojizoelea sifa lukuki baada ya uhuru leo hii wananchi wanamaswali mengi kuliko majibu.Changamoto zinazidi kuibali tanzania siku hadi.
Maadili ya uongozi,uzalendo kila kukicha vinazidi kuota mbawa na kutishia so called Amani uwepo wake.
Shule za kata- Picha za aibu tuu- Mitaa Yetu Je ni haki?
Shule za kata Tanzania, Je tutafika, Shule za JK hizo! ni aibu tupu. mabilion ya fedha yaaibiwa kila siku laking tuna shindwa hata kuchonga desk wakati mbao tunazo, pesa tunazo, wataalam tunao, bahati mbaya tuu, tuna mafisadi pia
shule za msingi tanzania- Delta star Training
Wanafunzia wa shule ya msingi, Nyasa 1 iliyopo wilayani Nzega
wakisoma vitabu vya kiada walivyokabidhiwa na kampuni ya tigo kwa
kushirikiana na Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) katika hafla
iliyofanyika shuleni hapo hivi karibuni. Kulia ni Ofisa Ugawaji
Rasilimali wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), Anne Mlimuka.
http://michuzijr2.wordpress.com/
Tanzania schools : Mgomo wa waalimu ulikuwa hivi- Truth
![]() |
Darasa mmoja mwalimu mmoja wanafunzi 70 |
The announcement came on 4 August, a day after the Labour Division of
the Tanzania High Court declared the strike staged on 30 July illegal.
Around 3,700 primary school teachers and 4,300 secondary school teachers
in public schools went on strike then after the government and the
teachers’ union failed to agree on the teachers’ pay rise.
Union prepares to appeal
“Our lawyers will assess the directives issued by High Court Judge
Sophia Wambura,” said TTU President Gratian Mukoba. “They will also
advise us as we prepare to appeal. In its ruling, the High Court, among
other things, ordered the TTU leadership to ask all its members to
resume their duties effective on Friday. We have already done that.”
He also indicated that “the ruling has disappointed teachers,
considering that the employer – the Government – does not seem to care
about their genuine demands. Taking this matter to court was not the
best option.”
Arrested teachers must be released
Mukoba appealed to the police to release without conditions all of the
teachers who were arrested in connection with the ongoing strike. He
denied allegations that some teachers were coercing colleagues who had
been unwilling to participate in the strike. “It is not true that there
are teachers inciting colleagues and pupils to strike and revolt,” said
Mukoba.
“Some teachers also told us that in the Coast, Morogoro and Ruvuma
regions, some teachers, administrators and union leaders have been
receiving threats from authorities that they will be arrested and
prosecuted.”
Salary demands
The teachers had demanded a doubling of their salary with an additional
55 per cent hardship allowance for science and mathematics teachers and
50 per cent for teachers of other subjects. They also demanded another
30 per cent allowance for teachers working in hostile circumstances.
Moreover, the teachers also want to be paid their salary and allowance
arrears accumulated for many years.
Judge’s ruling
However, the union’s case did not hold favour with the High Court. “I
hold that the strike, which has been going on for three days, is
unlawful,” Judge Sophia Wambura ruled. “I order that it should be
terminated immediately and all teachers who are on strike to resume
their duties forthwith."
She noted that, according to the Employment Labour Relations Act, the
respondents were required to provide 48-hour notice to the employer
prior to the commencement of the strike. “But, the notice was given on a
Friday evening, falling on the weekend, and the employer did not get
enough time to safeguard its properties as required by law. The notice
does not state when the strike will end and the strike, which is
indefinite, is by itself unlawful.”
The judge advised that, since all parties have expressed a need to
return to the negotiation table, they should make deliberate efforts to
reach an amicable settlement.
Ready to negotiate
Mukoba underlined that TTU leaders were ready to meet with the
government provided the latter would cooperate and faithfully consider
teachers’ demands.
“We don’t understand why the government refused to meet with us to
discuss the matter on how we could solve the crisis,” he said. “They
should understand that threats will not help solve the problems we
have.”
EI: Educators’ collective bargaining must be respected
EI General Secretary Fred van Leeuwen said: “We support our Tanzanian
colleagues’ demands for negotiations concerning their status. The
Government must understand that respecting educators’ trade union rights
and ensuring they get decent work conditions will improve quality
public education, therefore helping this country achieve Education For
All by 2015.”
The Resolution from the African Region
adopted at the 6th EI World Congress, held in Cape Town, South Africa,
in July 2011, also observes that, “in Africa, the trade union
organisations in the education sector are essential for democratic
development and social progress”.
It considers that the strength of the trade unions in the education
sector is measured by their members in terms of their democratic nature
and their strategies for independence and unity in relation to
employers, governments, political parties and all external forces.
This resolution further notes “the persistent violation by the majority
of African governments of national and international legal instruments
for the defence and promotion of trade union rights and particularly the
right to collective bargaining and the right of trade union
organisations to be involved in defining national education policies”.
Tanzania schools- Makuyuni primary school Monduli District
Young girls at Makuyuni primary school in the Monduli district of Tanzania. Photograph: Graeme Robertson
A hungry girl presses against her classroom's smashed window to look
outside. Surely maths is over and it is time for lunch, she seems to
say. As if her thoughts had been read, an older pupil darts into the
courtyard to sound the bell, a steel cylinder that hangs from a tree.
Hundreds of pupils sprint out of classrooms to stand in line for their
makande. The mix of beans and maize will be the only meal of the day for
most of the children here at Makuyuni village primary school in
northern Tanzania.
It
is for Zainab Athumani. The 16-year-old started primary school five
years late at the age of 11, because her mother, an occasional cleaner,
could not afford the 81p-a-year lunch fee or the uniform.
Since
Zainab started classes, she has taught her mother to write her name and
repeated to her what teachers have told the class about how to protect
against HIV. But school is tough. "It can be difficult to concentrate
when you are hungry," she says.
by http://www.guardian.co.uk/
by http://www.guardian.co.uk/
Tanzania school- what happen to BAE money, where is it. -Mitaa Yetu
A committee of MPs has strongly criticised BAE Systems for dragging its feet over a £29.5m fine it was ordered to pay the people of Tanzania in February 2010.
The committee urged the company to pay the amount in full within weeks, and raised the possibility of taking the matter back to court if the payment wasn't made.
Last year, BAE was fined for concealing payments of $12.4m to a marketing adviser in Tanzania in connection with a radar deal in 2002. The company agreed with the Serious Fraud Office (SFO) to make the ex-gratia payment to the Tanzanian people.
The UK's Department for International Development (DfID) and the Tanzanian government drew up plans on how to spend the money, which was to be invested in education. Under the plans, the money would be spent on 4.4m school textbooks, 192,000 desks, 1,196 teachers' houses and 2,900 pit latrines. The purpose and delivery of these items could easily be audited.--by http://www.guardian.co.uk/
Final the money was paid and up to this moment, nothing can be counted on how the money was used, no text books, no desks, no teachers houses, no pit ltrines, where the money went it is misteriously unknow. it is now over a year and half, and still waiting for our children money to come
tanzania education system- shule za Tanzania- Mitaa Yetu
![]() |
tanzania education system |
There are numerous barriers to inclusive education in Tanzania, at the national, community and school levels. While the lack of basic resources is a problem, attitudes are also barriers to participation and learning.
Researchers from the University of Dar es Salaam and the Tanzanian Education Network, with help from University of Bristol, in the UK, are developing an index for educational inclusion in the country. Through a participatory action research (PAR) project, they are investigating how schools can be supported in developing more inclusive school cultures and practices.
Eight primary schools in two districts in Dar es Salaam are part of this research. They are working on ways to include all learners in the community and improve the quality of education.
Often, the term ‘inclusion’ is limited to the inclusion of disabled pupils, as is the case with the participating schools. The project, however, sees inclusion as including all peoples regardless of race, ethnicity, disability, gender, language, socio-economic status and any aspect of an individual’s identity that might be seen as ‘different’.
The first four steps of the PAR have been completed:
- identifying barriers to participation and learning
- the participating schools grouping these barriers into five categories: infrastructure, classroom learning environment, health, water and sanitation, and negative community or cultural practices
- prioritising which barriers have to be tackled first: infrastructure was highest on the list of priorities, followed by books supply, identifying children with special needs and those living with HIV and AIDS
- developing school plans to develop more inclusive cultures.
Filiz Polat
Faculty of Education,
Room 421, Runme Shaw Building,
University of Hong Kong Pokfulam,
Hong Kong SAR, China
filiz.polat@hku.hk
http://web.edu.hku.hk
Shule za Tanzania picha number 15- Blinds students making different
A blind student reads Braille in the Uhuru Boarding School in Tanzania, which tries to integrate deaf and blind students into classes with children who have no disabilities. Dieter Telemans, Panos Pictures, 2008
Educational inclusion relates to all children accessing and meaningfully participating in quality education, in ways that are responsive to their individual needs. The terms ‘inclusion’ and inclusive education’ are often used in relation to children with disabilities and/or special needs and emerged partly out of debates to reduce their segregation from mainstream schooling. Shukurani - sana kutoka kwa http://www.eldis.org/go/topics/insights/2010/making-education-inclusive-for-all
Shule za Tanzania picha number 15- Blinds students making different
John Mnyika blogspot- Uzinduzi wa hopitals Sinza- Mitaa Yetu
11 Desemba
2012 Nimeshiriki uzinduzi makabidhiano ya jengo la huduma za mama na mtoto katika
hospitali ya Sinza (ipo Sinza-Palestina) kwa msaada wa Korea ikiwa ni sehemu ya kuboresha huduma za
afya.
Ipo haja ya kuongeza watumishi wa afya ikiwemo madaktari kwa kupanua wigo
wa elimu kwa ujenzi wa Chuo Kikuu MUHAS, eneo la Kwembe Mloganzila.
Hata hivyo,
nilitarajia Rais Kikwete angeeleza serikali ilivyojipanga kuboresha maslahi
ya madaktari kwa kurejea taarifa ya
kamati ya huduma za jamii iliyoundwa baada ya mgomo wa madaktari ili kuepusha
kasi ya madaktari kwenda nchi za nje,
badala yake Rais ametoa kauli nyingine tata.
Aida, Rais amepotoshwa kuwa
wanasiasa wa upinzani wamepinga ujenzi wa MUHAS na kuahidi fidia ya usumbufu.
Ukweli ni kuwa aliyewaahidi wananchi fidia ya ardhi ni aliyekuwa Waziri wa
Ardhi, Bwana John Chiligati mnamo mwaka 2009 na 2010 kwa ajili ya CCM kupata
kura kwenye uchaguzi za serikali ya mitaa na Uchaguzi Mkuu. Wananchi wanachodai
ni waliyoahidiwa na serikali.
shukurani zako John Mnyika, http://mnyika.blogspot.com/
Mikopo ya elumu ya juu -Picha Jamiiforums-Polisi vs wanafunzi
Poleni wanafunzi na jumuiya ya Chuo Kikuu cha DSM (UDSM), ni aibu kwamba
mpaka mgomo na mabomu ndio serikali ichukue hatua kwa madai ya mikopo
kucheleweshwa na kupewa kwa masharti yenye kuumiza watoto wa watanzania
wa kawaida.Kila binadamu anayo haki ya kusoma!Ni moja ya haki ya msingi
ktk haki za kibinadamu. Nasikitika siko pamoja nanyi jimboni Ubungo ktk
wakati huu mgumu, nitachukua hatua za kibunge huku Dodoma-Bungeni.Kwa
Pamoja Tunaweza!!
Shukrani Chanzo za Picha: Mtandao wa JamiiForums
Nimehuzunika sana baada ya kuona picha hizi na habari katika vyombo mbalimbali vya habari. Nipo pamoja nanyi!
Nimehuzunika sana baada ya kuona picha hizi na habari katika vyombo mbalimbali vya habari. Nipo pamoja nanyi!
Maoni Yetu
Rais kikwete, umeleta askari wako watupige chuoni, miliwapiga wazee wa A
mashariki mkawadhalilisha, mmewapiga wamachinga wasio na kipato
wakitafuta walau watakulaje, kama hiyo haitoshi mmetupiga wasomi
tusiseme madai yetu ya msingi. Laana hii itawafata nyuma siku zote na
mwisho wenu hauko utafika. Mmeamua kuila nchi, kuwakandamiza masikini na
kuwarudisha wakoloni kwa kivuli cha uwekezaji, leo rasilimali za nchi
yetu na kodi za wazazi wetu mnagawana na familia zenu na kupanga nani
apate kiasi gani na sisi masikini eti hamna hata hela za KUTUKOPESHA ili
tusome. Kama kweli uko serious na taifa letu, tafadhali tupe mikopo
watoto wa wakulima tusome. TENA JUA KUWA, TANZANIA SIO NCHI YA AMANI,
UNADHANI KAMA WATU HAWAPATI HAKI ZAO, WANA NJAA, WANAKOSA ELIMU NIYO
AMANI? Kama CCM ndivyo ina define amani basi imepitwa na wakati.
Msijifariji kusema tanzania ina amani, yatawatokea puani, si mnafanya
makusudi, kwa kuwa nyie na watoto wenu mna maisha ya kifahari ya pesa za
kodi zetu! Poa yote 9.
Mikopo ya chuo kikuu -Mitaa Yetu |
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma - UDOM wamegoma kuingia madarasani
wakipinga kile walichodai kuwa ni hatua ya bodi ya mikopo ya elimu ya
juu nchini kuchelewesha mikopo wanayostahili kupata.
Polisi mkoani Dodoma wamelazimika kutumia nguvu za ziada kuwatawanya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma,UDOM waliokuwa wanaandamana kwenda ofisi ya Waziri Mkuu mjini Dodoma kuwasilisha madai yao.
Dokta Nsekela amewataka wanafunzi hao kuwasilisha hati za madai yao katika ofisi yake na kuahidi kulitatua tatizo hilo ndani ya muda wa siku saba.
Polisi mkoani Dodoma wamelazimika kutumia nguvu za ziada kuwatawanya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma,UDOM waliokuwa wanaandamana kwenda ofisi ya Waziri Mkuu mjini Dodoma kuwasilisha madai yao.
Dokta Nsekela amewataka wanafunzi hao kuwasilisha hati za madai yao katika ofisi yake na kuahidi kulitatua tatizo hilo ndani ya muda wa siku saba.
Shule Tanzania - picha wanafunzi katika mashindano ya kucheza
Wanafunzi wa shule mbalimbali wakishindana kucheza baada ya kumalizika kwa onyesho hilo.
Washindi wa kucheza katika shamra shamra za Tigo Mama Afrika, wanafunzi wa Makongo wakipewa zawadi.
shule za tanzania picha na. 13 ni aibu tupu-
shule za tanzania picha na. 13 ni aibu tupu- kweli tunaweza kusema hii ni shule, jamani lazima tusimame kwa pamoja na kufanya mabadiliko.
shule za tanzania- picha na 12 ni aibu tupu- Mitaa Yetu
shule za tanzania- picha za aibu - kuwa mzalendo, fanya mema, uende zako, Mungu ndie anaye toa na anaye chukua, mafisadi, lazima waondoke, tuweze kujenga shule za tanzania za watoto wetu katika kila kata
tume ya haki za binadamu utetezi wa wanyonge uko wapi- acheni porojo
Hii si haki, utetezi wa wanyonge uko wapi, miaka 50 ya uhuru, na bado porojo nyingi tuu
Kauli hiyo ilitolewa jijini Dar
es Salaam jana, na Kamishina wa Tume hiyo, Bernadeta Gambishi, wakati
alipokuwa akizindua mradi vitabu (Vitini),vya maboresho ya sheria.
Alisema kwa kuzingatia hayo
kunaweza kuharakisha upatikanaji wa haki katika makundi yote ya kijamii
nchini, kusimamia maadili na uweled wa maofisa wa sheria, pia ukuzaji
wa uhuru wa mahakama.
Gambishi alisema kimsingi mradi huo una malengo makuu sita ambayo yatatekelezwa kwa kupitia mkakati wa Kati.
Akiyataja baadhi maeneo hayo,
kuwa ni pamoja na Mfumo bora wa sheria kitaifa: lengo hilo linasimamiwa
na Tume ya kurekebisha sheria nchini kwa kushirikiana na taasisi
nyingine washirika.
Haki za Binadamu na usimamizi
wa haki hili linasimamiwa na Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora na
upatikanaji wa haki kwa walio na uwezo mdogohilo linasimamiwa na
Taasisi zisizo za Kiserikali (NGO’S), mfano mmoja ni Chama cha Wana
Sheria Nchini (TLS).
Naye Kaimu Mkurugenzi wa Sheria,
Reginald Makoko, alisema bado Watanzania wengi wanakabiliwa na uwelewa
mdogo wa sheria hali inayowafanya baadhi yao kupoteza haki zao.
Hata hivyo, tatizo hilo kwa sasa
limepungua kutokana kuwepo kwa vyama vyama vya kisheria ambavyo vinatoa
msada wa kisheria bure , malalamiko mengi kuwasilishwa huko.
university of dodoma- katika shamra shamra za... Mitaa Yetu
Wahitimu wakiwa katika shamrashamra za huku na kule katika Kuchuku taswira za ukumbusho katika mahafali ya tatu ya Chuo Kikuu Cha Dodoma yanayofanyika katika viwanja vya chimwaga vilivyopo Chuoni hapo- university of dodoma, Tanzania
chuo kikuu cha dodoma-university of dodoma-Delta Star
Baadhi ya Wahitimu wa Kitivo Cha Sayansi ya Jamii, Sanaa na Lugha Cha Chuo Kikuu Cha Dodoma wakiwa katika harakati za kutafuta picha za ukumbusho na rafiki zao wakati wa sherehe za mahafali ya tatu ya Chuo Kikuu Cha Dodoma yanayotajiwa kuanza saa saba Mchana wa leo katika viwanja vya Chimwaga Vilivyopo Chuoni Hapo
Sunday, January 6, 2013
tanzania computer market- is growing and the demand is high
Tanzania computer market is growing rapidly, and the demand for users is high, schools, are getting hight tech, business are now using computer or some type technology to facilitate daily activites to cut cost and increase efficient. Now day without some knowledge in computer application, makes it hard to get a job even to perform simple communication. all cell phone are in the mode of computerization system. to do business and sending and receiving massage and storing date for evaluation and monitoring. by 2015, almost all secondary schools will be equip with computers for students , all business will be using computres . Learning how to use computer now will help and boost ones careers in job market
Tanzania computer companies, stores-sales, and suppliesCC Ltd
Computer Center Ltd, Dar es salaam,
Contact:
Dar es Salaam Office:
7/8 Maktaba Street,
P.O Box 1961, Dar-Es-Salaam, Tanzania
Telephone: +255 22 2117730
Fax: +255 22 2117743
Service Desk: +255 22 211 8338/9
Email: sales@cctz.co.tz
7/8 Maktaba Street,
P.O Box 1961, Dar-Es-Salaam, Tanzania
Telephone: +255 22 2117730
Fax: +255 22 2117743
Service Desk: +255 22 211 8338/9
Email: sales@cctz.co.tz
Tanzania computer Training -PowerComputers Ltd | Mitaa yetu
PowerComputers Ltd, Dar es salaam,
Tanzania computer training by PowerComputers Ltd
We began as a small scale supplier of Computer hardware and within a mere 5 ... set our goals to become the number one supplier for the whole of Tanzania.
Training Programs
- Short certificate courses such as Basics, Microsoft Office Suite, Networking
- Desktop Publishing courses such as Graphics and Web Design
- IT based courses such as A+, MCSE, LINUX, RED HAT and CISCO
- Professional Management Courses such as Leadership skills, customer service
Contact:
MWANZA
BRANCH
Kenyatta Rd, Opp. NMB
Tel: (255) 28 2500631
Fax: 2137379
P.O.Box 2263
Mwanza
Kenyatta Rd, Opp. NMB
Tel: (255) 28 2500631
Fax: 2137379
P.O.Box 2263
Mwanza
Saturday, January 5, 2013
Delta Star Training _ nafasi za masomo | Mitaa Yetu
Delta star Training Institute. offer short training course in Computer classes, Clearing and fourward,Graphic Design for journalism. nafasi za masomo
Subscribe to:
Posts (Atom)