Monday, January 14, 2013

shule za sekondari za serikali tanzania







Wanafunzi wa shule za msingi katika nchi mbalimbali katika nchi za Afrika Mashariki wanakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo ya kutokujua kusoma baada ya kumaliza darasa la saba. Pia hata wale wanaofaulu wengine hukosa nafasi lakini mambo ni tofauti nchini Tanzania. Fuatilia makala haya upate ndani wa suala hilo.

shule za sekondari tanzania- serikali kata- Picha 17 aibu tupu










WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI MGULASI MANISPAA YA MOROGORO WAKIWA WAMEKALIA NDOO ZA YENYE UJAZO WA LITA 10 ZIKIWA ZIMEGEUZWA MADAWATI ILI KUWEZA KUTUMIA KWA KUKALIA WAKATI WA MASOMO YAO YA KILA SIMU, PICHA HII NI KUTOKA MAKTABA YA WWW.JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM MWAKA 2009 WAKATI BENKI YA KCB TANZANIA TAWI LA MOROGORO WALIOENDA KUTOA MSAADA WA MADAWATI KATIKA SHULE HIYO YA SEKONDARI.

shule za sekondari tanzania- Mitaa yetu







Na Joachim Mushi
Rukwa
UJENZI wa Shule za Sekondari kwa kila Kata maarufu kama ‘sekondari za kata’ katika mikoa anuai umeongeza vituko kwenye sekta ya elimu kwa baadhi ya maeneo kwani kutokana na upungufu mkubwa wa walimu hasa wa masomo ya sayansi na lugha baadhi ya shule zimefuta masomo hayo kinyume na taratibu za mitaala.
Miongoni mwa mikoa iliyokubwa na kadhia hiyo ni Rukwa, Wilaya ya Nkansi ambako baadhi ya shule hizo zimekata tamaa baada ya kukosa walimu wa sayansi na kulazimika kufuta masomo ya sayansi na kubaki na yale ya sanaa, licha ya kwamba nayo si yote yenye walimu kwenye shule hizo.

shule za msingi arusha- Mitaa Yetu







shule za msingi arusha. Wanafunzi hao wakiendelea kufundishwa na hapa wamepigwa kwa nyuma ili kuonyesha uhalisia wa mahala penyewe na uwingi wao ambao bado wamekatwa kulingana na kamera kwa kweli ni wengi mno.Picha na hisani ya www.sufianimafoto.blogspot.com

Tanzania hospital- Miaka hamsini ya uhuru- Mama !!!

Wakina mama wajawazito wakiwa wamelala sakafuni na wengine kuchangia kitanda kimoja kutokana na upungu wa vitanda.

Kesho Dec 9,2011,Tanzania inasherekea miaka 50 ya "uhuru" iliyojipatia kutoka kwa Mwingireza Dec 9,1961.

Taifa linasherekea miaka 50 huku tofauti ya masikini na matajiri ikiongezeka.Pesa ya Tanzania ikizidi kupoteza mvuto(thamani).

Tanzania nchi iliyojizoelea sifa lukuki baada ya uhuru leo hii wananchi wanamaswali mengi kuliko majibu.Changamoto zinazidi kuibali tanzania siku hadi.

Maadili ya uongozi,uzalendo kila kukicha vinazidi kuota mbawa na kutishia so called Amani uwepo wake.

Shule za kata- Picha za aibu tuu- Mitaa Yetu Je ni haki?












Shule za kata Tanzania, Je tutafika, Shule za JK hizo! ni aibu tupu. mabilion ya fedha yaaibiwa kila siku laking tuna shindwa hata kuchonga desk wakati mbao tunazo, pesa tunazo, wataalam tunao, bahati mbaya tuu, tuna mafisadi pia