Showing posts with label university. Show all posts
Showing posts with label university. Show all posts

Monday, January 14, 2013

university of dodoma- katika shamra shamra za... Mitaa Yetu






Wahitimu wakiwa katika shamrashamra za huku na kule katika Kuchuku taswira za ukumbusho katika mahafali ya tatu ya Chuo Kikuu Cha Dodoma yanayofanyika katika viwanja vya chimwaga vilivyopo Chuoni hapo- university of dodoma, Tanzania